Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga wakizungumza na Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Jiji la Arusha Ndg. Ferdinand Shaban Manyama tarehe 6 Novemba 2023.
Wataalam hao wapo katika ziara ya kikazi kujifunza namna bora ya uendeshaji na usimamizi wa Special Purpose Vehicle( SPV).
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit