• Wasilina nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga District Council
Mbinga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • HISTORIA
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Afya
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maji
      • Community Development
      • Menejimenti ya Mipango na Takwimu
      • Mifugo
      • Agriculture,Cooperative and Irrigation
      • Utawala
      • Fedha na Biashara
    • Kitengo
      • Habari, mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Investment
    • Makaa Ya Mawe
  • Huduma
    • Huduma za afya
    • Huduma za Elimu
  • Councillors/PM
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • UKURASA WA ELIMU SEKONDARI
    • Mbunge
      • Miradi iliyo inayofadhiliwa
      • Ratiba ya Mbunge
      • Ligi ya Mbunge
  • Miradi
    • Miradi
      • Miradi Mipya
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi ambayo haijakamilika
  • Chapisho
    • Miongozo
      • TEHAMA
    • Kanuni
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • TEHAMA
    • Idara
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Tarafa
    • Mbuji
      • KARIBUBU KATA YA MBUJI
      • Litembo
      • Kitura
      • Nyoni
      • Mpapa
      • Kata ya Kilangajuu
      • Maguu
      • Langiro
    • Kigonsera
      • Kigonsera
      • Kihangimahuka
      • Kitumbalomo
      • Matiri
    • Hagati
    • Mkumbi
    • Namswea
    • Mkumbi
      • Mkumbi
      • Kipololo
      • Ukata
      • Ngima
  • MIFUMO

WILAYA YA MBINGA YAUNDA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI 48

Tarehe ya kuwekwa: September 13th, 2023

Na Silvia Ernest,


Hadi kufikia leo tarehe 13 Septemba 2023  Wilaya ya Mbinga imeunda jumla ya Majukwaa 48 katika ngazi ya Kata na zoezi la kuunda majukwaa hayo ngazi za Vijiji na Mitaa qqqlinaendelea.


Agizo  la kuanzishwa  kwa jukwaa la uwezeshaji wananchi katika Mikoa yote ya Tanzania Bara  lilitolewa tarehe 6 Juni 2016 na Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  alipokuwa  Makamu wa Rais wa Tanzania.


Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Bw. Paschal Ndunguru  amebainisha hayo katika hafla ya  Uzinduzi  wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi  Wilaya ya Mbinga iliyofanyika katika Kata ya Kitura.


Ndunguru amebainisha kuwa lengo la kuazisha majukwaa hayo  ni kutoa elimu za uwezeshaji kiuchumi katika fursa  za ndani na nje ya nchi.


"Kupitia majukwaa hayo  wanawake wa Wilaya ya Mbinga wanajengewa uwezo wa kujiamini kiuchumi na kuongeza uwezo  wa kujitegemea katika ngazi ya Kaya" Amebainisha Ndunguru


Ameeleza kuwa chimbuko la kuanzishwa kwa jukwaa la uwezeshaji Wanawake Kiuchumi ni malengo ya Milenia 17 ya mwaka 2000 namba 5 ambayo  yametaja na kuelekeza  uwezeshaji wa wanawake kiuchumi kama nyenzo muhimu ya kuleta maendeleo ya haraka.


Amefafanua kuwa jukumu kubwa ni kuthamini shughuli za uwezeshaji wanawake duniani na kuweka  mikakati ya kuongeza ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi duniani kote na kuhakikisha kuwa  usawa wa kijinsia na ushiriki wa wanawake  katika shughuli za kiuchumi unafikiwa  ifikapo mwaka 2030.


Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa Idara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Bi. Martina  Ngahy ametoa wito kwa wanawake wa Wilaya ya Mbinga kujikita katika Biashara ili kuweza kujikwamua kiuchumi na kuondokana  na hali ya  utegemezi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI September 17, 2024
  • TANGAZO LA HESABU MBINGA DC July 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA NAFASI YA MKUSANYA USHURU January 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA- DEREVA NAFASI 2 January 25, 2024
  • Tazama zote/kote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI KASHUSHURA ATOA MSISITIZO MATUMIZI YA NISHATI SAFI SHULENI

    February 15, 2025
  • MAAFISA TUME WATEMBELEA MBINGA DC

    January 08, 2025
  • WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WAPEWA ANGALIZO

    January 09, 2025
  • KASHUSHURA AWAPONGEZA WANANCHI UJENZI WA SHULE

    September 10, 2024
  • Tazama zote/kote

Video

UGAWAJI WA MKAA MBADALA
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Utumishi
  • Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Polisi Tanzania
  • Mamraka ya mapato Tanzania (TRA)

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ili kutufikia

Wasilina nasi

    MBINGA DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA

    Namba za simu: 2552640005

    SImu ya mkononi: PS 0754533018

    parua pepe: ded@mbingadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit