Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imeendelea kubuni na kutekeleza miradi ya kimkakati ambayo inatarajiwa kuleta tija katika kuongeza mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Tarehe 23 Julai 2025 baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura pamoja na Edge Building & construction Limited na VAG Contructors walisaini mkataba wa ujenzi wa Mbinga DC Executive Villa ambao utagharaimu shilingi 643,759,500 fedha kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga unatarajia kukamilika ifikapo tarehe 16 Januari 2026.
MBINGA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la posta: P.O. BOX 194 MBINGA-RUVUMA
Namba za simu: 2552640005
SImu ya mkononi: PS 0754533018
parua pepe: ded@mbingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mbinga District Council. All rights Reserved. Prepared by ICT - Unit