Tarehe ya kuwekwa: August 27th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mhe. Desderius Haule ameongoza kikao maalum cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa za hesabu za Halmashauri tarehe 27 Agosti amba ho kimefanyika katika u...
Tarehe ya kuwekwa: August 27th, 2024
Katika mwaka wa fedha 2023/2024 ulioshia mwezi Juni 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imevuka lengo katika ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya jumla ya Tshs. 7,757,338,926 kutoka katika vyanzo mbal...
Tarehe ya kuwekwa: August 23rd, 2024
Diwani wa Kata ya Maguu Mhe. Bahati Mbele ameshinda kwa kura 36 kati ya kura 37 nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga tarehe 23 Agosti 2024.
Kati ya kura 37, kura ...