Tarehe ya kuwekwa: September 22nd, 2023
Hatua ya ujenzi wa shule ya mpya ya msingi Kipapa, ujenzi huu unagrahimu kiasi cha shilingi zaidi ya Mil. 300 ambazo zitatumika katika ujenzi wa vyumba 9 vya madarasa, jengo la utawa...
Tarehe ya kuwekwa: September 21st, 2023
Hatua ya ujenzi wa madarasa mawili katika Shule ya Msingi Namswea mabao utagharimu kiasi cha shilingi Mil. 40 hadi kukamilika, mradi huu unatekelezwa na fedha kutoka Seriklai kuu...
Tarehe ya kuwekwa: September 21st, 2023
Na Silvia Ernest
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Mbinga Inspekta John Lupondije ametembelea na kukagua miundombinu ya kizimamoto katika ujenzi unaoendelea kutekelezwa ...