Tarehe ya kuwekwa: June 20th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mkataba wa lishe kwa kuwa na 128.22% ya utekelezaji wa viashiria vya lishe ikishika nafasi ya kwanza kati ya Halmashauri...
Tarehe ya kuwekwa: April 25th, 2022
Mkuu wa Wiaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo amekabidhi bajaji mbili zenye thamani ya shilingi milioni 17 kwa vijana watano wa kikundi cha FastaFasta ikiwa ni sehemu utekelezaji wa sera ya utoaji wa ...
Tarehe ya kuwekwa: April 10th, 2022
Jumla ya miradi 9 yenye thamani ya shilingi milioni 325.94 imetembelewa katika Kata 4 za Mpapa, Nyoni, Kigonsera na Mkako ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na Mwenge wa Uhuru uliopokelewa Kijij...