Tarehe ya kuwekwa: January 6th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Juma Haji Juma amekabidhi vyumba 10 vya madarasa yenye thamani ya shilingi Milioni 200 kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga katika hafla iliyofanyika Shu...
Tarehe ya kuwekwa: December 30th, 2022
Leo Ijumaa Disemba 30, 2022 Benki ya NMB imekabidhi pikipiki 3 kwa maafisa Ushirika kutoka Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma zinazolima Kahawa ili kuongeza tija katika usimamizi, ufuatiliaji na uzalishaji...
Tarehe ya kuwekwa: December 29th, 2022
Kamati ya Siasa Wilaya ya Mbinga leo Disemba 29, 2022 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya kinachojengwa Kata ya Mkumbi, Tarafa ya Mkumbi Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Ki...